TANZANIA YASHIRIKI UFUNGUZI RASMI WA KOMBE LA DUNIA

   

Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker Uliopo nchini Uturuki kwenye Hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa Watu wenye ulemavu leo Septemba 30, 2022.

Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki ufunguzi huo na mechi yao ya kwanza dhidi ya Hispania itachezwa hapo kesho saa saba kamili mchana.

Hadi mwisho wa mechi ya ufunguzi Uturuki wameshinda 3-0 dhidi ya Ufaransa

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post
Alert: Content is protected !!