Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Kihongosi ameanza rasmi kibarua katika nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa wa Arusha.
Kihongosi aliyeteuliwa rasmi June 23, 2025 kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akitokea Mkoa wa Simiyu ameanza kibarua chake kwa ziara ya siku mbili akianzia wilaya ya Longido kisha Ngorongoro.
Hata hivyo matarajio ya utendaji wake ni mkubwa Mkoani Arusha kutokana sio mgeni.
Kihongosi amewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha.
End..