Tanzania kumenyana na Malawi kuwania tiketi ya kucheza fainali Africa

 



TANZANIA itamenyana na Malawi katika kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Soka ya Ufukweni baadaye mwaka huu nchini Msumbiji.


Tanzania itaanzia ugenini kati ya Julai 22 na 24, kabla ya timu hizo kurudiana Dar es Salaam kati ya Agosti 5 na 7.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post
Alert: Content is protected !!