Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj
Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia waumini wa Dini ya Kiislam na
wananchi katika Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444
A.H, lililonayika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo Julai
31,2022.(Picha na Ikulu).
Waumini
wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano la
kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444.A.H, lililofanyika katika Masjid
Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj
Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam na
Wananchi katika Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444
A.H, lililofayika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo.
Sheikh
Khamis Abdulhamid akiwasilisha mada kuhusiana na Sensa na Mipango ya
Maendeleo wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam
1444. A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj
Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uislamu na Sensa na Mipango
wa Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh Khamis Abdulhamid (hayupo pichani)
wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H,
lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na kulia kwa
Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar,Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar , Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na kushoto kwa Rais ni Naibu
Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wad na Kadhi Mkuu wa
Zanzibar, Sheikh Hassan Othman Ngwali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj
Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mada ya Uislamu na Sensa na Mipango wa
Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh Khamis Abdulhamid (hayupo pichani)
wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H,
lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na kulia kwa
Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar,Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na kushoto kwa Rais ni Naibu Mufti
Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi